Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kichapo cha Simba wasilaumiwe Kapombe, Tshabalala

Wasilaumiwe Kapombe Na Tshabalala Kichapo cha Simba wasilaumiwe Kapombe, Tshabalala

Tue, 7 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi Shafii Dauda amewatetea wachezaji wa Simba SC kwa kufungwa na Yanga SC goli 5-1.

Shafii amesema viongozi wanapaswa pia kulaumiwa.

“Simba wamekosa kutengeneza succession plan , mfano leo nimesikia watu wanawakosoa Kapombe , Zimbwe na Chama , hawa wachezaji wameshinda kila kitu kwa misimu minne unataka wakupe nini ?”

“Kuna wachezaji wana zaidi ya miaka 10 wanacheza , sio sawa kulaumu wachezaji unapaswa kuwalaumu viongozi na mfumo wao kwa kushindwa kutengeneza wachezaji wengine kuja kuwasaidia majukumu hawa wengine “

“Hawa wanaowashutumu kina Zimbwe na Kapombe hawawatendei haki ndio waliopo”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live