Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kichapo cha Namungo, Ruvu jahazi linazama

Ruvu Jahazi.jpeg Ruvu imekubali kichapo cha bao 1-0 mbele ya Namungo

Sun, 25 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

BAO pekee la kiungo Pius Buswita dakika ya 42 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.

BAO pekee la kiungo Pius Buswita dakika ya 42 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 25 katika mchezo wa 18 na kusogea nafasi ya tano, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake 12 za mechi 18 sasa nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live