Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibwana kimeeleweka, Aucho bado ngoma ngumu majeruhi

Khalid Auchoooooooo Kibwana Shomari kimeeleweka, Aucho bado ngoma ngumu majeruhi

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa habari wa Yanga Ally Kamwe amesema kiungo wao Pacome bado hajawa timamu lakini Madaktari wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast wamemuomba Mchezaji huyo ili kuona kipi wanaweza kumsaidia taarifa zaidi zitatolewa.

Kiungo Khalid Aucho anaendelea kuimarika, naye ripoti ya daktari itatoa majibu, upande wa Kibwana yeye ataanza mazoezi Jumatatu.

Kuhusu Viingilio vya mchezo huo Ally Kamwe amesema

VIP A Tsh 30,000 VIP B Tsh 20,000 VIP C Tsh 10,000

Lakini mzunguko ni bure.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live