Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibwana aanza mdogo mdogo

Kibwana Shomari Tizi Beki wa Pembeni wa Yanga, Kibwana Shomari

Fri, 4 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa klabu ya Yanga SC, Kibwana Shomari ameanza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje akiuguza majeraha ya goti.

Utakumbuka mwezi uliopita (January 14) Kibwana alifanyiwa upasuaji wa mdogo nchini Tunisia.

Kibwana alipata maumivu katika moja ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, na madaktari wa timu walishauri afanyiwe upasuaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live