Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibwana Shomari apigwa faini ya Milioni 1 kisa taulo

Kibwana Shomari Tizi Beki wa Klabu ya Yanga, Kibwana Shomari

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Klabu ya Yanga, Kibwana Shomari alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Mashujaa kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda mabao 2-1.

Beki wa Klabu ya Yanga, Kibwana Shomari alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Mashujaa kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda mabao 2-1. Kwa kosa hilo Kibwana atalipa faini shilingi Milioni moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: