Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibwana Shomari afunguka kurudi uwanjani (+Video)

Video Archive
Mon, 21 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki Kiraka wa wa Yanga Kibwana Shomari kwa mara ya amefunguka tangu alipofanyiwa upasuaji mdogo Januari 14 mwaka huu nchini Tunisia.

Kibwana alipata majeraha katika mchezo wa Watani wa Jadi dhidi ya Simba Disemba 11 mwaka jana katika uwanja wa Mkapa.

Sasa Kibwana amezungumzia kwa kirefu hatua zote alizozipitia wakati wa upasuaji huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live