Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibu mgeni rasmi dabi ya Simba Vs Yanga

Kibu D KIBU DENGA.jpeg Kibu mgeni rasmi dabi ya Simba Vs Yanga

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally, ametangaza kuwa, Mgeni rasmi katika mchezo wa Derby ya Kariakoo utakao zikutanisha Simba dhidi ya Yanga siku ya Jumapili Novemba 5, 2023 atakuwa, Mshambuliaji wao Kibu Denis Prosper (Mkandaji).

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally, ametangaza kuwa, Mgeni rasmi katika mchezo wa Derby ya Kariakoo utakao zikutanisha Simba dhidi ya Yanga siku ya Jumapili Novemba 5, 2023 atakuwa, Mshambuliaji wao Kibu Denis Prosper (Mkandaji). Kwenye mechi ya mwisho ya Ligi, Kibu aliwafunga Yanga goli lililowapa ushindi wa 2-0. Goli la kwanza alitupia Henock Inonga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live