Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibu, Mkude, Lwanga kuwavaa Dodoma Jiji

Kibu DENIS.jpeg Simba itashuhudia kurejea kwa wachezaji wake waliokuwa wakisumbuliwa na maumivu

Mon, 7 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuwakosa nyota wake kadhaa kutokana na sababu mbali mbali katika michezo iliyopita.

Kikosi cha Simba usiku wa leo kitashuhudia urejeo wa nyota wake Taddeo Lwanga, Kibu Denis, Jonas Mkude na Larry Bwalya ikijiandaa kuwavaa Dodoma Jiji katika Uwanja wa Mkapa.

Wachezaji hao wote wameorodheswa katika kikosi kinachoanza leo lakini wataanzia benchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live