Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibu Denis kutimkia Wydad

Kibu Denis Prosper Kibu Denis kutimkia Wydad

Wed, 27 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi kutoka kwenye chanzo cha kuaminika zinasema Simba SC imopokea barua kutoka klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco wakihitaji saini ya nyota wa kimataifa wa Tanzania, Kibu Denis.

Kutokana na ubora na kiwango alichokionesha katika mechi walizokutana Kibu D imewavutia zaidi waarabu hao na kulazimika kutuma maomba ya kuhitaji huduma yake.

Hata hivyo, hakuna taarifa rasmi zilizotolewa na pande zote mbili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live