Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibu Denis amkosha Da Rosa Botswana

Kibu Denis Prosper Kibu Denis amkosha Da Rosa Botswana

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiwango kilichooshwa na mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis kimemkosha kocha wa zamani wa Wekundu hao wa Msimbazi Didie Gomes Da Rosa.

Akizungumza mara baada ya mchezo wa Simba SC dhidi ya wenyeji wao Jwaneng Galaxy kumalizika kwa sare hapo jana, Da Rosa alisema amefurahishwa na maendeleo mazuri ya wachezaji aliowahi kuwafundisha Simba.

"Nimefurahi kumuona Kibu, ameupigwa mwingi sana, alikuwa hatari, nimefurahi pia kumuona Sadio Kanoute, Kapombe na Tshabalala wakiwa wanacheza kwenye ubora wa juu," alisema Da Rosa ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Botswana.

Kwenye mchezo huo ambao Simba alimiliki mpira kwa kiasi kikubwa, matokeo yalikuwa ni 0-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live