Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibu Denis, Mzamiru wapigwa faini Mil.1 kila mmoja imani za kishirikina

Kibu Denis, Mzamiru Wapigwa Faini Mil.1 Kila Mmoja Imani Za Kishirikina Kibu Denis, Mzamiru wapigwa faini Mil.1 kila mmoja imani za kishirikina

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji was Simba, Kibu Denis na Mzamiru Yassin wametozwa faini ya Sh. 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la kuondoa taulo la mlinda mango wa Coastal Union lililokuwa limewekwa pembeni ya lango wakati mchezo ukiendelea, jambo lililoashiria imani za kishirikina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live