Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiboko ya Mane, Salah huyu hapa

Emilio Nsue Equatorial Emilio Nsue

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Equatorial Guinea Emilio Nsue amefunga goli lake la 5 katika mashindano ya AFCON 2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast.

Kwa sasa Nsue amebakisha goli 4 ili kufikia magoli ya Vincent Aboubakar ambaye alikuwa mfungaji bora wa AFCON iliyopita.

Si Mohamed Salah,wala Sadio Mane ama Victor Osimhen ni huyu mwamba Emilio Nsue anaeonyesha nia ya kuchukua kiatu cha ufungaji bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live