Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibegi cha Simba kupigwa mnada wiki hii

CEO SIMBA, IMANI KAJULA Kibegi cha Simba kupigwa mnada wiki hii

Tue, 25 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamesema wanatarajia kukipiga mnada kibegi cha jezi ambacho kilipanda Mlima Kilimanjaro kwa jili ya uzinduzi wa jezi za msimu mpya wa 2023-24.

Akizungumza leo Julai 25, 2023 kwenye mkutano wa waandishi wa habari, CEO wa Simba Imani Kajula alisema kibegi hicho kitapigwa mnada na fedha zitakazopatikana, zitatolewa msaada.

"Wiki hii tunatarajia kufanya mnada wa kibegi pamoja na jezi zile na mapato yake yatasaidia ujenzi wa wodi ya kina mama na mtoto kwenye hospitali ya Muhimbili na Zanzibar," alisema CEO Imani Kajula.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live