Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiba sio wa kuimba kwenye fungulia mbwa - Ahmed Ally

SIMBA DAY ALIKIBA Kiba sio wa kuimba kwenye fungulia mbwa - Ahmed Ally

Thu, 3 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally ameandika..

"Hadhi na Heshima ya King Ally Kiba sio kuimba kwenye tamasha la fungulia mbwa, King anatakiwa kuimba kwenye Tamasha lililojaa watu tena walioingia kwa kiiingilio chao hapo tunazungumzia Simba Day."

Kiba ambaye infahamika alikuwa shabiki wa Yanga SC, ametambulishwa rasmi kujiunga kuwa shabiki wa Simba na atapafomu kwenye tamasha la Simba Day, Agosti 6, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live