Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Khvicha Kvaratskhelia awaumiza kichwa Napoli, PSG

Khvicha Kvaratskhelia.jpeg Winga wa timu ya Napoli huko Italia, Khvicha Kvaratskhelia

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Paris St-Germain ya nchini Ufaransa wanataka Napoli ipunguze thamani yao ya euro 100m (£85.2m) ya kumuuza Khvicha Kvaratskhelia ifike karibu na euro 60m (£51.1m) ili waweze kumsajili huku wakitaka kufikia makubaliano ya mshambuliaji huyo wa Georgia mwenye umri wa miaka 23.

Timu ya Paris St-Germain ya nchini Ufaransa wanataka Napoli ipunguze thamani yao ya euro 100m (£85.2m) ya kumuuza Khvicha Kvaratskhelia ifike karibu na euro 60m (£51.1m) ili waweze kumsajili huku wakitaka kufikia makubaliano ya mshambuliaji huyo wa Georgia mwenye umri wa miaka 23. Hata hivyo, Napoli wako tayari kumpa Kvaratskhelia mkataba mpya ambao utajumuisha kifungu kikubwa cha kutolewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live