Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kevin De Bruyne angeweza kuichezea Timu ya taifa ya Burundi

Kdb Kevin Kevin De Bruyne angeweza kuichezea Timu ya taifa ya Burundi

Fri, 28 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshamhuliaji wa Manchester City, Kevin De Bruyne angeweza kuiwakilisha Taifa la Burundi katika ngazi ya kimataifa kabla ya kulitumikia taifa lake la Belgium.

Kumbuka mama yake na Kevin de Bruryne, Anna De Bruyne amezaliwa nchini Burudani KDB yeye amezaliwa Ubelgiji mama yake amezaliwa Burundi na baba. Yake amezaliwa Ubelgiji.

Alikua na machaguo mawili Burundi au Belgium.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live