Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya kuna changamoto kwenye soka lao lakini kuna Waweru

Images (8) Peter Waweru.jpeg Peter Waweru

Sat, 6 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kua na Changamoto adhaa kwenye soka la Kenya ikiwemo klabu kutokua na uchumi mzuri na kutokua na mdhamini mkuu.

Pia kutokua na haki za Matangazo ya television ambapo ligi hiyo hurushwa kupitia Facebook pekee na ni baadhi ya mechi.

Aidha, timu yao ya Taifa kufungiwa na mengine meeeengi lakini kwenye anga la kimataifa Peter Waweru anawawakilisha vizuri sana.

Waweru ni Mwamuzi wa kati ambaye ni Mhadhiri wa Course ya Hesabu chuo kikuu Cha Jomo Kenyatta na ana Berg ya FIFA ya uamuzi.

Anatarajiwa kuchezesha mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika kati ya Al Ahly SC dhidi ya Esperance De Tunis.

CAF Hawapimi ubora wa mwamuzi kupitia Ligi bali kiwango chako kupitia Mchezo husika unaochezesha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live