Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya kujenga Uwanja wa Fainali AFCON 2027

Talanta Stadium Kenya Kenya kujenga Uwanja wa Fainali AFCON 2027

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya nchini Kenya ipo kwenye mpango wa ujenzi wa Uwanja mpya utakaoitwa TALANTA SPORT CITY utakaokuwa na uwezo wa kuchukuwa watazamaji 60,000,

Serikali ya nchini Kenya ipo kwenye mpango wa ujenzi wa Uwanja mpya utakaoitwa TALANTA SPORT CITY utakaokuwa na uwezo wa kuchukuwa watazamaji 60,000, Malengo yao makubwa ni kuhakikisha kuwa wanapata nafasi ya kuweza kuandaa mchezo wa fainali katika AFCON ya 2027 baada ya kuona nafasi ni kubwa kwa Tanzania kutokana na uwepo wa Uwanja wa Benjamin Mkapa unaobeba watazamaji 60,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live