Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya kuandaa CHAN 2024

FKF Kenya Election Kenya kuandaa CHAN 2024

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imefahamika kuwa Taifa la Kenya ndio litakuwa mwenyeji wa kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2024.

Bado shirikisho la soka barani Afrika CAF hawajathibitisha taarifa hiyo lakini taarifa kutoka vyanzo kadhaa nchini Kenya vimeripoti uwezekano wa michuano hiyo kuchezwa nchini humo.

Mara kadhaa Kenya wamekuwa na bahati ya kushinda nafasi ya kuwa wenyeji wa michuano kadhaa lakini wanaishia kupokwa nafasi kwasababu ya miundombinu ya viwanja.

Ikumbukwe mwaka 2018 walipata nafasi kama hiyo lakini walishindwa kutokana na ukosefu wa miundombimu rafiki.

Aidha Kenya ni muandaaji mwenza wa AFCON 2027 pamoja na Tanzania na Uganda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live