Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kennedy Mweene atundika daruga Mamelodi, atua benchi la ufundi

Kennedy Mweene Kennedy Mweene atundika daruga Mamelodi, atua benchi la ufundi

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa wa kimataifa wa Zambia na klabu ya Mamelodi Sundowns, Kennedy Mweene ametangaza kustaafu kucheza soka baada ya kuhudumu kwa miaka 19.

Kennedy Mweene ataungana na kocha mkuu Rhulani Mokwena katika bench la fundi la Mamelodi Sundowns.

Benchi la ufundi la klabu ya Mamelodi Sundowns chini ya Rhulani Mokwena.

Manqoba Mngqithi

Michael Loftman

Kennedy Mweene

Wendell Robinson

Mathias Zangenberg

Dr Carl Tabane

Golam Valodia

Khaled Ali

Mario Masha

Kagiso Marumo

Stuart McGregor.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live