Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kennedy Musonda aitwa kikosi cha Timu ya Taifa Zambia

Musonda Chipolopolo Mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda

Sun, 5 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia na Klabu ya Yanga, Kennedy Musonda ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Zambia inayonolewa na Kocha Avram Grant.

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia na Klabu ya Yanga, Kennedy Musonda ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Zambia inayonolewa na Kocha Avram Grant. Zambia wanajiandaa na mchezo wa kufuza AFCON dhidi ya Lesotho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live