Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kelvin De Bruyne ashangaa kupewa 'Man of the Match'

Kevin De Bruyne Belgium Poses 777790525 Kelvin De Bruyne

Thu, 24 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji, Kelvin De Bruyne ameshangaa baada ya kupewa tuzo ya mchezaji Bora wa mechi (Man of the Match) wakati timu yake ilipopanda dimbani jana kucheza na Canada.

Katika mchezo huo wa Kundi F wa Kombe la Dunia, Ubelgiji ilishinda kwa bao 1-0, bao ambalo lilifungwa na Michy Batshuayi dakika ya 44.

"Sifikirii kama nilicheza Kwa Kiwango kikubwa sana. Sijui kwanini nimepewa Tuzo hii (Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi).Labda ni Kwa sababu ya jina langu," amesema De Bruyne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live