Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Keagan Johannes atua Mamelodi Sundowns

Keagan Johannes.jpeg Keagan Johannes.

Mon, 22 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamelodi Sundowns wamekamilisha usajili wa mlinzi wa kati Keagan Johannes kutoka SuperSport United.

Mamelodi Sundowns wamekamilisha usajili wa mlinzi wa kati Keagan Johannes kutoka SuperSport United. Nyota huyu mwenye umri wa Miaka 23 amepiga chini OFA za Kaizer Chiefs na Orlando Pirates akaamua kufuata pesa na Makombe kitongoji Cha Mamelodi, Pretoria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live