Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kaze achomoa dili la APR

Cedrick Kaze Vs KMC Kocha Kaze

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

AliyekuwabKocha msaidizi wa Klabu ya Yanga, Cedrick Kaze raia wa Burundi ameitolea nje ofa ya kuwa kocha Msaidizi wa klabu ya APR ya Rwanda.

Miamba hiyo ya Rwanda ambayo taarifa zinasema inakamilisha mipango ya kumchukua Kocha wa zamani wa Simba Patrick Aussems ilikuwa imempa ofa Kaze ya kuwa Kocha Msaidizi lakini Kaze amechomoa na sasa yuko zake Canada amepumzika.

Kaze amemaliza mkataba wake kwa miamba Yanga na hawakufikia makubaliano ya kuendelea naye na sasa amerejea Canada ambapo kabla alikuwa akiishi huko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: