Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Mino Raiola Baada ya kuzushiwa kifo

Mino Raiola April Mino Raiola

Thu, 28 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchana wa Leo April 28, kulizuka taarifa ya Kifo cha Wakala Maarufu wa Wachezaji Barani Ulaya Raia wa Italia Mino Raiola.

Sasa Taarifa za Uhakika ni kuwa Wakala huyo hajafa na kuthibitishwa na Daktari kutoka katika Hospitali aliyolazwa Wakala huyo, akidai Raiola kwa sasa anapigania Uhai.

Kubwa zaidi Raiola kupitia Akaunti yake ameandika ujumbe unaoonesha kusikitishwa na uzushi huo.

Soma tweet ya Raiola Hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live