Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Eng Hersi akiwa Tunisia

Said Hersi 1 1140x640 Eng. Hersi

Sat, 11 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC Hersi Said ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir utakaochezwa Tunisia wameweka bonasi za aina mbili.

Hersi amekiri kuwa katika michezo ya Kimataifa watatoa bonasi kubwa timu ikipata ushindi pamoja na kupata sare mechi za ugenini.

“Mashabiki walitaka kutuona tunaingia makundi na tumefanikisha viongozi pamoja na wachezaji, kwenye timu yetu tunatoa bonasi ya ushindi na safari hii tutatoa pia ya droo ugenini maana kupata sare mechi za ugenini pia ni sehemu ya kupata mafanikio,” amesema Hersi Said.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live