Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kasi ya Mzize mwiba kwa Mamelodi

Clement Mzize X Maxi Mpia Nzengeli Kasi ya Mzize mwiba kwa Mamelodi

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana wa miaka 20 wa Yanga Clement Mzize ni moja ya wachezaji wenye kasi ndani ya kikosi cha Yanga.

Kwa umri alionao Clement Mzize wa miaka 20 kama atapata nafasi ya kuanza katika mchezo wa Mamelodi Sundowns ataisumbua safu ya ulinzi ya Mamelodi.

Kwa sababu ya kasi yake lakini pia ukiangalia umri wa walinzi wa kati wa Mamelodi akiwemo Grant Kekana miaka 31 na Mothobi Mvala miaka 29,hii inapima imani kwa Mzize ataisumbua Mamelodi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: