Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karim Benzema aomba kuondoka Al-Ittihad

Benzema Ahusishwa Na Ugaidi Karim Benzema aomba kuondoka Al-Ittihad

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa nyota wa Al-Ittihad, Karim Benzema ameuomba uongozi wa klabu hiyo kumruhusu kuondoka kwa muda.

Bado haijulikani sababu za Benzema kuomba kuondoka kwa muda, lakini hivi karibuni baadhi ya taarifa zimekuwa zikieleza kuwa Benzema amekuwa hana maisha ya furaha klabuni hapo.

Mpaka hivi sasa dirisha la usajili bado lipo wazi, Je unadhani Benzema ana mpango ya kutaka kujiunga na klabu nyingine?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live