Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karim Benzema anyakua tuzo ya Ballon D'or

Benzema 90 Karim Benzema akiwa na tuzo yake ya Ballon D'or

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ufaransa, Karim Benzema amenyakua tuzo ya Ballon D'or 2022 baada ya kuwa na msimu bora kabisa 2021/2022.

Benzema amenyakua tuzo hiyo akiwabwaga Sadio Mane (Bayern Munich) aliekamata nafasi ya pili na Kevin de Bruyne(Man City) aliekamata nafasi ya tatu.

Msimu wa 2021/2022, Benzema amebeba La Liga na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya akiwa na Real Madrid wakiichapa Liverpool.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live