Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karia atuma Salamu za rambi rambi nyota wa Simba, Stars aliefariki

Karia Rambi Rambi 222 Barua ya TFF kwa Familia ya John Makelele

Wed, 6 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu nchini Tanzania TFF, Wallace Karia ametuma Salamu za rambi rambi kwa familia ya John Makelele kuatia kifo cha John Makelele ambae alipata kuichezea Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars".

Enzi za Uhai wake pia marehemu Makelele alipata kuchezea klabu ya Simba SC, na anakumbukwa zaid kwa goli lake alilowafunga Yanga katika ushindi wa magoli 2-1 goli abalo liliinusuru kablau ya Simba kushuka daraja. Julai 28. 1988.

John Makelele alifariki dunia Julai 2 mwaka huu Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live