Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karia: Sina chuki na Haji Manara

Haji Karia Karia: Sina chuki na Haji Manara

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Rais wa TFF Wallace Karia akionekana kama ndio chanzo cha Haji Manara kufungiwa Soka.

Karia amejibu tuhuma hizo huku akisema;

“Manara alikuja nyumbani na Engineer na hata nilivyomfungia alikuja pia ,unajua TFF ni taasisi na sio suala la Karia . Haji nimekuta kafungiwa miaka saba (7) watu wanasema ninemfungulia hesabu toka nimeingia miaka saba haijaisha “

“Sina chuki na Haji ni moja kati ya watu niliokuwa nathamini wanachifanya ,ingawa kuna sehemu ana mapungufu kama binadamu ,ofisi ndio imemshtaki hata alivyokuja nikamwambia siwezi sina mkono wangu “

“Anasema aliniomba msamaha lakini baadae anasema hakufanya kitu namuonea ,wewe unaonewaje unaenda kuomba msamaha !"

Majibu ya Rais wa TFF kuhusu kufungiwa kwa aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Yanga Haji S Manara .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live