Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karia: Mimi na Waziri tutavaa jezi za Simba, Yanga, ole wako ujichanganye

Wallace Kariaaaaa.jpeg Wallace Karia

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia anasema hawatosita kuwachukulia watu hatua ambao watawasapoti wapinzani.

"Mama anasapoti na ameongeza dau sisi pia tuna sheria zetu kwa ambao watatoa Maneno, matamka na maandiko ambayo yataleta taharuki hatutasita kuwachukulia hatua.

"Mimi na Waziri tutavaa jezi siku hiyo kama ni Yanga tutavaa jezi ya Yanga na kama ni Simba tutavaa jezi ya Simba, amesema Wallace Karia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live