Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kapor kocha mpya Medeama

Kapor 958 Kapor kocha mpya Medeama

Sun, 31 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Medeama Sporting Club officially Wamemtangaza Nebojsa Kapor (37) kuwa kocha wao mkuu.

Raia huyo wa Bosnia amesaini kandarasi ya miaka miwili lkn kuna kipengele cha kuongeza mwaka mmoja baadaye.

Kocha huyo alizifundisha timu za TEMA Youth na Bechem United za Ghana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live