Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kapombe ataja siri mabadiliko kikosi cha Simba

Shomari Kapombe.png Kapombe ataja siri mabadiliko kikosi cha Simba

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe ameweka wazi kuwa siri kubwa iliyowafanya wachezaji wa Simba kuonesha kiwango kizuri ni maneno waliyopewa na mwali wao mpya Benchikha.

Kapombe amesema, mwalimu alizungumza na mchezaji mmoja mmoja na kumuambia kuwa anahitaji kila mtu aipambanie timu na hicho ndicho kilicholeta mabadiliko kwenye mechi dhidi ya Jwaneng Galaxy.

"Mwalimu alituambia anahitaji tujitume, kweli tulifanya hivyo na tukafanikiwa lakini hatukuweza kupata bahati ya kufunga," alisema Kapombe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live