Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kapeti la zamani latolewa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kapeti Kwa Mkapa Kapeti la zamani latolewa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Benjamin Mkapa, Malinde Mahona amesema kuwa anafurahishwa na kasi ya ukarabati inayoendelea hivi sasa kwani zoezi lililopo hivi sasa ni kukarabati eneo la kukimbilia mchezo wa riadha kwa kubadilisha kapeti la zamani.

Ukiangalia kwa makini utaona kapeti la zamani lilipoteza ubora hivyo sasa ni wakati wa kufanya marekebisho kwa kuweka kitu kipya ili kuweka mazingira bora.

"Ukarabati ulianza mwezi Agosti mwaka jana kwa kurekebisha miundombinu mbalimbali ikiwamo eneo la kuchezea mpira wa miguu, kubadilisha spika pamoja na mfumo wa maji taka kwa maeneo ambayo yalikuwa na changamoto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live