Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanzu ya Ronaldo yapanda bei

Ronaldo Mzds Kanzu ya Ronaldo yapanda bei

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kanzu aliyovaa nyota wa Klabu ya Al-Nassr na nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo 'CR7' imepanda bei ghafla mara tu baada ya mchezaji huyo kupost picha ikionesha amevaa kanzu hiyo.

Kanzu aliyovaa nyota wa Klabu ya Al-Nassr na nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo 'CR7' imepanda bei ghafla mara tu baada ya mchezaji huyo kupost picha ikionesha amevaa kanzu hiyo. Kanzu hiyo ilikuwa inauzwa dola 600 sawa na shilingi milioni 1.5 za Kitanzania lakini muda mchache baada ya kupost kanzu hiyo imepanda bei mpaka kufikia kuuzwa dola 10,000 sawa na shilingi milion 25 za Kitanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live