Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye atinga uwanjani Serie A

Kanye With Leao Kanye atinga uwanjani Serie A

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Kanye West alitokea Uwanjani kushuhudia mechi ya Ligi ya Serie A huko Italia kati ya Genoa na AC Milan iliyopigwa Oktoba 7 katika dimba la Stadio comunale Luigi Ferraris.

Mechi ambayo Milan aliibuka na ushindi wa bao 1-0, lililofungwa dakika 87 ya mchezo na Christian Pulisic.

Rapa na mfanyabiashara huyo wa Marekani baada mechi kumalizika alikutana na Mreno, Rafael Leão, na kupata picha ya pamoja.

Ye yupo Nchini Italia kwa wiki kadhaa sasa na mke wake Bianca Censori kwa ajili ya shuguli zao za kibiashara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live