Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kante, Benzema kuvuruga mipango ya Man United

Benzema X Varane Varane na Benzema

Sat, 19 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo N'Golo Kanté na Mshambuliaji Karim Benzema wanajaribu kumshawishi beki wa Manchester United raia wa Ufaransa Raphaël Varane ajiunge na klabu ya Al Ittihad.

Klabu hio ya Saudi inataka sana huduma za Varane ila mlinzi huyo bado hajaonyesha utayari wa kuondoka klabuni hapo Manchester United.

Varane bado anataka bado kusalia Uingereza walau kwa msimu mwingine mmoja kabla ya kufikiria kuondoka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live