Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanoute kukosa mechi tatu

Sadio Kanouteeeeeeeee Kanoute

Sat, 7 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Klabu ya Simba SC, Sadio Kanoute ???????? anatarajiwa kuikosa michezo Mitatu Ijayo ya Klabu ya Simba SC mara Baada ya kupewa mapumnziko ya wiki mbili na Madaktari wa Klabu ya Simba SC akiuguza majeraha yake ya Enka aliyoyapata kwenye Mchezo wa Derby dhidi ya Yanga SC.

Kiungo wa Klabu ya Simba SC, Sadio Kanoute ???????? anatarajiwa kuikosa michezo Mitatu Ijayo ya Klabu ya Simba SC mara Baada ya kupewa mapumnziko ya wiki mbili na Madaktari wa Klabu ya Simba SC akiuguza majeraha yake ya Enka aliyoyapata kwenye Mchezo wa Derby dhidi ya Yanga SC. Kanoute ???????? ataikosa Michezo Miwili ya Ligi Kuu ambapo Simba SC itacheza dhidi ya Ruvu Shooting na Azam FC huku pia akiukosa Mchezo wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Pamba FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live