Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kane mbona hana deni Bayern Munich

Harry Kane Germany Harry Kane

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Harry Kane amewalipa Bayern €110m zao walizotoa kumsajili kwa Tottenham Hotspurs, katika mechi 8 ana goli 9 na asissti 4.

Harry Kane amewalipa Bayern €110m zao walizotoa kumsajili kwa Tottenham Hotspurs, katika mechi 8 ana goli 9 na asissti 4. Sema shida ni kwamba tumeshamzoea sana hivi alafu pia ligi anayocheza tushaiweka kama ni ligi nyepesi sana kwenye macho yetu lakini kwa ada na kwa umri wake anauwasha sana. Kama anapita chini ya rada hivi...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live