Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kane aweka rekodi ya kibabe Bayern Munich

Harry Kane Germany Harry Kane

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Bayern München Harry Kane amefunga magoli 4 kwenye mechi 4 ambazo amecheza katika mashindano ya UEFA msimu huu.

Nyota wa klabu ya Bayern München Harry Kane amefunga magoli 4 kwenye mechi 4 ambazo amecheza katika mashindano ya UEFA msimu huu. Hadi sasa ana magoli 19 kwenye mechi 15 alizocheza tangu ajiunge na Bayern München kwenye mashindano yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live