Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kane atavunja rekodi ya Lewandoski?

Kane Rekodi Ya Lewandoski Kane atavunja rekodi ya Lewandoski?

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michezo tisa imebakia kumalizika msimu wa 2023/2024 wa Bundesliga huku Harry Kane akiongoza ufungaji bora akiwa amefunga magoli 30 katika michezo 25 iliyopita.

Michezo tisa imebakia kumalizika msimu wa 2023/2024 wa Bundesliga huku Harry Kane akiongoza ufungaji bora akiwa amefunga magoli 30 katika michezo 25 iliyopita. Katika michezo hii tisa iliyobakia, je Harry Kane ataweza kufunga magoli 12 ili kuifikia na kuivunja rekodi ya Robert Lewandoski aliyoweka ya kufunga magoli 41 katika msimu wa 2020/2021?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live