Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kane apata nyumba ya kuishi Ujerumani

RAS OFF PLATFORM KANE HOUSE Kane apata nyumba ya kuishi Ujerumani

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich Harry Kane alikuwa akilala nyumba ya wageni nchini Ujerumani akitumia Euro 11,000 kwa usiku sawa shilingi 29,748,125 katika hoteli ya kifahari, jumla ya jumla ya Euro 1,221,000 kwa usiku shilingi 3,302,041,875

Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich Harry Kane alikuwa akilala nyumba ya wageni nchini Ujerumani akitumia Euro 11,000 kwa usiku sawa shilingi 29,748,125 katika hoteli ya kifahari, jumla ya jumla ya Euro 1,221,000 kwa usiku shilingi 3,302,041,875 Mshambuliaji huyo amefanikiwa kupata nyumba yake mwenyewe, na sasa yuko tayari kuwa mpangaji wa jumba la zamani la Lucas Hernandez aliyehamia PSG na ataihamishia familia yake nchini Ujerumani. Harry na mkewe Bi Katie wana watoto wanne Ivy, Vivienne Jane, Louis na Henry.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live