Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kane, Coman nani atavunja rekodi msimu huu?

Kane X Coman Kane, Coman nani atavunja rekodi msimu huu?

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa England na Bayern Munich, Harry Kane hajawahi kushinda kombe katika maisha yake ya soka.

Uhamisho wake kwenda Bayern ulionekana kama vile unakwenda kumaliza ukame wa Makombe katika maisha ya mchezaji huyo.

Lakini hali imekuwa tofauti baada ya mwenendo mbaya wa Klabu yake huku wakitolewa katika Kombe la Ujerumani, Ligi Kuu wakiwa nyuma ya vinara kwa alama 8

Winga wa Ufaransa Kingsley Coman Hajawahi kukosa taji katika maisha yake ya soka akiwa na vilabu vya PSG, Juventus na Bayern Munich.

Je safari hii anaweza kutoka kapa pasipo kushinda taji lolote na Bayern Munich?

Nani Atavunja Rekodi Ya Mwenzake ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live