Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamwe: Twendeni tukawapokee wanajeshi wetu leo

Yanga Toyota Cup.jpeg Kamwe: Twendeni tukawapokee wanajeshi wetu leo

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC Ally Kamwe ameongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Club hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kutangaza kuwa amejiuzulu ambapo amewahamasisha Mashabiki wa Yanga kwenda kukipokea kikosi cha Yanga ambacho kinawasili leo.

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC Ally Kamwe ameongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Club hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kutangaza kuwa amejiuzulu ambapo amewahamasisha Mashabiki wa Yanga kwenda kukipokea kikosi cha Yanga ambacho kinawasili leo. Kamwe ameingia akiwa ameongozana na Haji Manara na bado hajazungumzia chochote kuhusiana na uamuzi wake huo ila taarifa mitandaoni zinadai kuwa Rais wa Yanga Hersi Said na Makamu wake Arafat Haji walimzuia Ally Kamwe kufanya maamuzi hayo kwa kile kilichokuwa kinahisiwa na wengi ni ujio wa Haji Manara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live