Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kameta kuibukia Mbeya Kwanza

Duchu Pic Data BEKI wa kulia wa Simba, David Kameta ‘Duchu’

Mon, 9 Aug 2021 Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

BEKI wa kulia wa Simba, David Kameta ‘Duchu’ anaweza kuwa mmoja wa nyota watakaovaa uzi wa Mbeya Kwanza msimu ujao.

Simba, tayari imemsajili Israel Patrick Mwenda aliyekuwa KMC kitu kinachofungua mlango kwa Duchu aliyekuwa hana namba kusepa zake.

Beki huyo alikiri anaendelea kuzungumza na Mbeya Kwanza mambo yakiwa tayari kila kitu kitawekwa wazi.

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz