Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kambwala atua Villarreal

Willy Kambwala DSC Kambwala atua Villarreal

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Villarreal ya Ligi Kuu Uhispania imekamilisha usajili wa beki Willy Kambwala kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 10 kutoka Manchester United.

Klabu ya Villarreal ya Ligi Kuu Uhispania imekamilisha usajili wa beki Willy Kambwala kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 10 kutoka Manchester United. Kambwala (19) mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambaye ameiwakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa amesaini mkataba wa kuwatumikia Nyambizi hao wa Manjano mpaka Juni 2029.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live