Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamati yaundwa kufanya Uchunguzi Chama Cha Soka Cameroon

Samuel Etoo 1 Samuel Etoo, Rais wa Shirikisho la Soka Cameroon

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Samuel Eto'o alipewa uhuru wa maamuzi kwenye uendeshaji wa Shirikisho la soka nchini Cameroon na vitu vingine lakini yamekuwa majanga ndio maana serikali ikaingilia kati kuweka mambo sawa.

Ofisi wa Waziri mkuu imepokea maagizo ya kuunda kamati kutoka kwa Rais ili ifanye uchunguzi wa kujua nini tatizo na namna bora ya kutatua changamoto hizo.

Kamati hiyo imeundwa na watu kutoka ofisi ya Waziri mkuu, Ofisi ya Rais, na wizara ya michezo lakini Rais wa Shirikisho hilo Samuel Eto'o si sehemu ya kamati hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live