Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamari yamponza Sandro Tonali

United Sandro.jpeg Kamari yamponza Sandro Tonali

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Kimataifa wa Italia na Klabu ya NewCastle united Sandro Tonali ametozwa faini ya Euro 20,000 na marufuku ya miezi miwili ya kutojihusisha na soka la ushindani na Tume huru ya Udhibiti baada ya kukiri kukiuka Sheria za kubashiri za Shirikisho la Mpira wa Miguu la Uingereza. - Tonali alikiri 'kusuka mikeka' 40 hadi 50 kwenye soka, ikijumuisha mechi zinazofikia 4 za Newcastle akifanya hivyo ili klabu yake ishinde huku akicheza katika michezo mitatu kati ya minne ya klabu yake 'aliyobeti'. - Hata hivyo klabu ya New Castle imesema Tonali bado anaendelea kufuata mpango wa matibabu na programu ya elimu kwa usaidizi kamili wa klabu hiyo na ataendelea kufanya mazoezi na wachezaji wenzake kikosini hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live