Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kama wapinzani wetu ndio hawa, tusipochukua Ubingwa lazima tutafute mganga - Manara (+Video)

Haji Manaraaa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara

Fri, 4 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amejinasibu kwa mbwembwe kuwa kama aina ya wapinzani waliopo katika mbio za ubingwa msimu huu ni aina ya Timu kama Simba, basi wasipochukua taji la Ligi Kuu msimu huu watakwenda kutafuta mganga awafanyie tiba.

Manara amezungumza kauli hiyo mapema leo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha Sports Headquarter cha E-fm, akizungumzia kiwango cha wapinzani wao Simba katika mchezo wa jana dhidi ya Tanzania Prisons.

Manara amesema Simba haipaswi kushindana na Yanga kwa kuwa hawana hata timu ya ushindani, kwani katika mchezo wa jana walishindwa hata kupiga shuti katika lango la Prisons kwa zaidi ya dakika 65.

Msikilize Manara akijitapa hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live